Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

vijana na maisha

UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI (kinondoni - magomeni)
15 Machi, 2014 14:43 EAT

je? ni kweli vijana wamekuwa na tatizo kubwa kuhusu kupata maendeleo?

hebu tuzungumzeeeeeeeeeee!

UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI (magomeni)
21 Machi, 2014 01:58 EAT

Hivi uamkapo asubuhi ulisha wahi kujiuliza kwanini umezaliwa? na kwanini ujiulizeee? hebu jibu upate makx za kuishi vyemaaa

UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI (MAGOMENI)
27 Machi, 2014 02:00 EAT

HAKIKA BINADAMU NI KIUMBE ALIYEPEWA AKILI NYINGI NA UTAMBUZI WA MAMBO KULIKO KIUMBE CHOCHOTE PIA KIJANA NI MTU MWEPESI APASWAE KUFIKILI JAMBO MUHIMU NA KUTOA MAAMUZI SAHIHI YA MAENDELEO


Ongeza Ujumbe Mpya

Karibisha watu kushiriki