Log in
UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI

UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI

Dar es salaam, Tanzania

 - TUNAKARIBISHA WATU WOTE WANAO WEZA KUJITOA KUJA KUUNGANA NASI KWA MWAKA UJAO KWANI TUMEJIDHATITI KUIFIKIA JAMII NZIMA YA TANZANIA YOTE ILI KUWEZA KUPENYEZA JUMBE MBALI MBALI KWA KUPITIA SANAA SHIRIKISHI,IKIWA NI MAIGIZO,NGOMA,NYIMBO,NGONJERA, NK

 - LAKINI PIA KUJITOA KATIKA UCHANGISHAJI WA DAMU SALAMA KUPITIA CLUB YETU YA UNA OKOA MAISHA LENGO IKIWA NI KUOKOA MAISHA YA VICHANGA VYETU,WAMAMA WANAOJIFUNGUA KWA OPERESHENI,WAZEE NA WATU WAPATAO AJALI KIUJUMLA HIVYO CHANGISHA HII ITAKUWA NI YA MIKOA YOTE TANZANIA NIA.

 - KILA ATAKAE GUSWA NA HILI TUNAOMBA AUNGANE NASI ULI TUWEZE KUIFIKIA JAMII YA TANZANIA 1) KAMA KUNA MTU ANAWEZA UNGANA NASI KWA KUANDIKA PROPOSAL YA KUWEZESHA JAPO VIJANA KUNYWA MAJI KATIKA MAPIGANO HAYA

                 2) KAMA KUNA MTU ANAWEZA UNGANA NASI JAPO KUCHANGIA MFUKO WA CLUB HII KWA LENGO LA VIJANA (WASANII NA WATAALAMU WA AFYA TOKA UNATZ KUPATA KUSAFILI NA KULA JAPO KIDOGO TUTASHUKURU.

                 3) KWA WALE MAVOLUNTER PIA TUNA WAKARIBISHA TUJE UNGANA PAMOJA KATUKA MAPIGANI HAYA

                  4) MASHIRIKA,KAMA LIPO SHIRIKA LOLOTE LILE LINAWEZA KUUNGA MKONO BASI TUUNE PAMOJA HATA KAMA UNA MRADI KAMA HUU BASI SISI TUPO TAYA LI KUWA PAMOJA LENGO NI KUIFIKIA JAMII TANZANIA ISIYO FIKIWA KWA HARAKA

 

December 26, 2015
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.