Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Tanzania Women of action (Tawa) tumefanikiwa kupata uwakilishi katika kongamano la wanawake na katiba liloandaliwa na Women Fund Tanzania(WFT) .Kongamano hili limefanyika kuanzia tarehe 22 mpaka 24 october mwaka huu na kuhudhuriawa na washiriki wanawake kutoka mikoa 19 ya Tanzania.Kwa ushiriki huo tumeweza kuweka mikakati ya pamoja ya masuala muhimu yanayo mgusa mwanamke ili yaingizwe katika katiba mpya.
October 25, 2012
Comments (1)