Envaya
/Tawa/post/120300
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Mwanamke ni chachu ya maendeleo na mabadiliko ya nchi ,hivyo ni muhimu ushiriki na mchango wake katika masuala mazima ya kitaifa ni lazima ashirikishwe kikamilifu.
(Not translated)
Hindura
Tanzania Women of action (Tawa) tumefanikiwa kupata uwakilishi katika kongamano la wanawake na katiba liloandaliwa na Women Fund Tanzania(WFT) .Kongamano hili limefanyika kuanzia tarehe 22 mpaka 24 october mwaka huu na kuhudhuriawa na washiriki wanawake kutoka mikoa 19 ya Tanzania.Kwa ushiriki huo tumeweza kuweka mikakati ya pamoja ya masuala muhimu yanayo mgusa mwanamke ili yaingizwe katika katiba mpya.
(Not translated)
Hindura