Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

MIMBA ZA UTOTONI SABABU NNI?

TWEYAMBE YOUTH DEVELOPMENT (bukoba)
March 24, 2012 at 12:11 PM EAT

Maisha ni kila kitu kwa kila mtu aliyeumbwa na mwenyezi mungu,mabinti wadogo wamekuwa wakipata shida nyingi baada ya kupata ujauzito wasioutalajia , lakini sababu kubwa ni nini?ebu na tuangalie namna ya kuisaidia jamii ya Tanzania juu ya tatizo hili la mimba za utotoni:

wadau naomba maoni yaenu nini chanzo na nini kifanyike

asanteni sana


Add New Message

Invite people to participate