kuifanya KANYIGO kuwa mahali salama kwa wanajamii kufanya kazi za kujiajili bila kuisubiri selikari.Jamii itambue wajibu wake kwa kuakikisha kila mmoja anatekeleza wajibu wake bila shuruti.KWA PAMOJA TUNAWEZA
See nearby organizations
edward lowasa ndani ya Tunduma
Kila jambo lina wakati wake huyu mweshimiwa anasaidia sana jamii ila sijui malengo yake ni nini ila naamini anafanya kwa manufaa ya taifa na sio vinginevyo ,tatizo jamaa walimuwaisha kumchomoa mjengoni sijui kama angeyafanya yote haya angekuwa babo na kale kanafasi
TAARIFA YA CAG
Ninaamini kwa kila aliye mtanzania mzalendo taarifa hii inamuhusu ,maoni yangu juu ya nini kifanyike ni kuwa kila aliyehusika na ubadhilifu huu achukuliwe hatua ,maana tunaweza kutaka mawaziri wajiuzuru nao wakafanya kama tulivyotaka ,lakini je ndo tuishie hapo ?mimi nadhani kuna haja ya kurudi nyuma na kuangalia watendaji nao wanafanya nini ,mfano wakuu wa idara,wakuu wa vyuo vilivyotajwa ili tuweze kurudisha pesa za umma ili zikafanye kilichokusudiwa na wapangaji wa maendeleo ya nchi yetu ya maziwa na asali,toa maonin yako na wewe nini tufanye ili tuweze kunusuru nchi dhidi ya wanyanganyi hawa maana hawana tofauti na majangiri au wauaji