Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
TUNAKARIBISHA WANACHAMA WAPYA
TYD ,inayofuraha kutoa taarifa kwa vijana wote kujiunga na asasi hii ili kuweza kuboresha maisha ya kila mtanzania na jamii nzima kwa ujumla kama unataka kujiunga wasiliana nasi kwa anuani iliyoko katika tovuti hii.asante na wote mnakaribishwa.
NB:wanaotaka kujiunga wawe ni wale wenye moyo wa kujitolea na sio vinginevyo
22 Mata, 2012