Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Lengo kuu la asasi ni utunzaji wa mazingira katika dhana endelevu,kuelimisha umma juu ya Kilimo cha kisasa,kuwaelimisha wakulima na wafugaji dhidi ya kanuni bora ili kuondoa umaskini uliokithiri hapa nchini.
kuwahamasisha wananchi juu ya kukabiliana na magonjwa sugu kama vile ukimwi,malaria na TB.
Amakuru agezweho
Tushikamane Organization yakoze Amateka paje.
HISTORIA YA ASASI YA TUSHIKAMANE ORGANIZATION – Asasi ya Tushikamane Organization ilisajiliwa rasmi tarehe 29/6/2011 na kupata usajili 00004721 katika wizara ya maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto na kufanya kazi katika mikoa yote Tanzania... Soma ibindi
12 Kanama, 2012
Tushikamane Organization yakoze Ikipe paje.
Ununi Ramadhan Mng'oo-Mwenyekiti
Yahaya Rajab Mgoda-Mratibu Mkuu
Janeth Shaban-Mratibu wa Fedha
Ramadhan Palu-Mratibu wa Elimu
Aziza Rashidi-Mratibu wa Maendeleo Jamii na Watoto
Bibiana Joseph Kibua-Mratibu wa... Soma ibindi
12 Kanama, 2012
Tushikamane Organization yasanze Envaya.
12 Kanama, 2012
Ibyiciro
Aho uherereye
Morogoro Vijijini, Morogoro, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye
Reba ibigo mwegeranye