Fungua
Tushikamane Organization

Tushikamane Organization

Morogoro Vijijini, Tanzania

Lengo kuu la asasi ni utunzaji wa mazingira katika dhana endelevu,kuelimisha umma juu ya Kilimo cha kisasa,kuwaelimisha wakulima na wafugaji dhidi ya kanuni bora ili kuondoa umaskini uliokithiri hapa nchini.

kuwahamasisha wananchi juu ya kukabiliana na magonjwa sugu kama vile ukimwi,malaria na TB.

Mabadiliko Mapya
Tushikamane Organization imeumba ukurasa wa Historia.
HISTORIA YA ASASI YA TUSHIKAMANE ORGANIZATIONAsasi ya Tushikamane Organization ilisajiliwa rasmi tarehe 29/6/2011 na kupata usajili 00004721 katika wizara ya maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto na kufanya kazi katika mikoa yote Tanzania... Soma zaidi
12 Agosti, 2012
Tushikamane Organization imeumba ukurasa wa Timu.
Ununi Ramadhan Mng'oo-Mwenyekiti Yahaya Rajab Mgoda-Mratibu Mkuu Janeth Shaban-Mratibu wa Fedha Ramadhan Palu-Mratibu wa Elimu Aziza Rashidi-Mratibu wa Maendeleo Jamii na Watoto Bibiana Joseph Kibua-Mratibu wa... Soma zaidi
12 Agosti, 2012
Tushikamane Organization imejiunga na Envaya.
12 Agosti, 2012
Sekta
Sehemu
Morogoro Vijijini, Morogoro, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu