Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Mashirika ya Ubia
Journalists Environment and (HIV)Aids Network
Tanzania Network of Journalists Living with HIV (TNJ+) has a link to the Journalists Environment and HIV/AIDS network (JEAN) in the sense that both are a non-governmental organizations of journalists engaged in the response to HIV. We need to network in order to multiply our effort in this endeavor.
National Council of People Living with HIV (NACOPHA)
nacopha@yahoo.com · +255 0713 568541
Mabadiliko Mapya

Journalists Environment and (HIV)Aids Network imeumba ukurasa wa Timu.
Sango Kipozi – Executive Director – Hussein Issa Tuwa – Deputy Director – Ajalaa... Soma zaidi
27 Agosti, 2015


CREATING FRIENDSHIP BETWEEN CHILDREN OF BAGAMOYO TANZANIA AND CHILDREN OF SAGAMIHARA JAPAN, BY JEAN media/ENVAYA ORGANIZATION. ... Soma zaidi
25 Septemba, 2012


Journalists Environment and (HIV)Aids Network imeongeza Habari 2.
MAZINGIRA HATARISHI KWA WAKAZI WA BONDE LA MTO MZINGA. – Baada ya mafuriko kulikumba jiji la Dar es salaam hapo tarehe 20/12/2011 na kuacha hasara kubwa kwa wakazi wa jiji hili,serikali ilichukua hatua za dharura kuhakikisha kuwa huduma za chakula,malazi na mavazi zinaendelea... Soma zaidi
31 Januari, 2012


MAISHA MAPYA MABWEPANDE BAADA YA MAFURIKO. – Ni mji mpya kwa sasa,unaopatikana km 37 kutoka jijini Dar es salaam na upo upande wa kusini magharibi mwa jiji hilo,unaotegemewa kukaliwa na familia zipatazo 1800,baada ya makazi yao kuharibiwa kwa mafuriko ya tarehe 20/12/2011. – Jumapili ya tarehe 22/01/2012,msururu wa... Soma zaidi
23 Januari, 2012

Journalists Environment and (HIV)Aids Network imeongeza Habari 2.
HALI HALISI YA MAISHA BAADA YA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM – kama umebahatika kutembelea maeneo ambayo yamekumbwa na mafuriko katika jiji hili,hali ni mbaya sana kwa wakazi wa maeneo hayo.Nyumba nyingi ziko kwenye tope zito huku tope hilo likiwa limechanganyika na kinyesi cha binadamu. – hali ya maisha kwa ujumla... Soma zaidi
16 Januari, 2012


PICHA MBALI MBALI ZA ATHARI ZA MAFURIKO JIJINI DAR-ES-SALAAM – Maji machafu karibu ya makazi ya watu na nyumba zizilojengwa kwenye... Soma zaidi
13 Januari, 2012

ELIMU YA STASDI ZA MAISHA. – Mimba za utotoni na utumiaji wa dawa za kulevya nchini Tanzania limekuwa ni tatizo linalokuwa siku hadi siku.Takwimu zinaonesha kuwa watoto wenye umri kuanzia miaka 9-25,ndio wanaoathirika kwa kiwango kikubwa na tatizo hili. – Mwaka 2008 katika shule ya msingi Ilagala mkoani Kigoma... Soma zaidi
9 Januari, 2012


ilikuwa ni tarehe 20/12/201, usiku na kuamkia tarehe 21/12/2011 wananchi wa jiji la Dar es salaam walijikuta katika wakati mgumu mara baada ya kukumbwa na mafuriko,ambayo yaliwaacha baadhi ya wakazi wa jiji hili wakiwa hawana makazi ya kuishi huku wengine wapatao 41 wakipoteza maisha. – Kutokana na hali... Soma zaidi
8 Januari, 2012

ATHARI ZA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM – Kutokana na mafuriko yaliyolikumba jiji la Dar es salaam,tarehe 20/12/2011 wananchi wengi mpaka sasa hawana makazi ya kudumu na huduma za afya zimezidi kuzorota kwa kiwango kikubwa. – Takwimu zinaonesha kuwa watu wapatao 41 wamefariki dunia kutokana na mafuriko hayo,wakati... Soma zaidi
5 Januari, 2012