Envaya

TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO YA USHONAJI KWA WATU WENYE KIPATO KIDOGO

Tanzania Single Mothers and Youth Development Trust (TASMOYODET) kupitia kitengo cha mafunzo ya ujasilia-mali inatangaza nafasi za masomo ya ushonaji kwa miezi sita:

  • Masomo haya yatatolewa bure kwa familia zenye kipato kidogo hasa wasichana wanaofanya kazi majumbani(House girls) na wanawake wasiojiweza.

USAJILI: Usajili unaendelea kila siku kwenye ofisi za shirika zilizopo  nyuma ya kanisa la RC-Makuburi Dar Es Salaam saa 2:00 asubuhi hadi saa 7:00 mchana. Gharama za FOMU ni shilingi 5000/=.Shukia External au Garage baada ya hapo ulizia kanisa la RC Makuburi ambapo ofisi zipo nyuma ya kanisa hilo.

Karibuni sana. 0717-292843/0756-451550

 

Kwa maelezo zaidi piga simu numba: 0717-292843/0752-498579

7 Agosti, 2012
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.