Envaya

Tanzania jing quan do kung fu school ni shule inayotoa mafunzo ya michezo mbalimbali kwa vijana,watoto na lika jingine,michezo kama vile football,kung fu,karate na michezo mingine ming ambayo inawafanya kuwa wenye afya na wakakamvu na kuwapa afya kwa ujumla

Tanzania jing quan do kung fu and sports pia imewahi kushiriki katika matamasha ya michezo ming inayohusisha watoto na vijana kwa ujumla.