Log in
Research,Planning and Project Write-up Association-NGO

Research,Planning and Project Write-up Association-NGO

Iringa, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

UTAWALA BORA KATIKA ASASI ZA KIRAIA:

Mkurugenzi- RPPW (Iringa)
October 10, 2011 at 5:08 PM EAT

Moja ya nguzo kuu ya Utawala Bora katika Asasi za Kiraia ni kuwa na kanuni zinazoongoza masuala ya fedha,mipaka ya kila kiongozi na wanachama, mali watu, manunuzi nk. Uwepo na matumizi thabiti wa nguzo hii muhimu sana ni KIVUTIO kikubwa sana kinachomvuta au kushawishi WANACHAMA, WADAU,WAFADHILI NA SERIKALI kuziamini asasi za kiraia. Kinyume chake Asasi hukosa kuaminiwa. Tufanyaje sasa?

[message deleted]
Mr Bartholomew M. Kunzugala- Zone Director (Moshi University College of Cooperative and Business Studies- (MUCCOBS) Iringa Centre, Building ground Floor,Sekoutoure/Titi Roads, Iringa Municipality.)
October 10, 2014 at 11:32 PM EAT

Ni kweli na ukweli usiopingika,

Chakufanya kuanzia sasa ni kwa asasi zote za kiraia na mashirika yasiyo ya kiserikali kuunganisha nguvu za pamoja ili

 kujigharamia wenyewe kwa kuchangia mafunzo, yaani cost sharing. Hufundisha au kuwezesha mafunzo juu uandaaji Mahesabu ya fedha na taarifa za ukaguzi nk RPPW husaidia kutengeneza Kanuni za fedha, Rasilimali watu, Manunuzi nakadhalika Hutoa mafunzo kwa kuchangia ( Cost sharing) kwa asasi ambazo hazijiwezi kifedha kugharamia pekee yake. Kwa asasi zenye uwezo zinaweza kwa makubaliano maalumu kuitaka RPPW kufika na kutoa huduma hizi kwa uongozi na hata kwa wanachama wake                                      Ni Kweli kabisa tukiungana pamoja tunaweza.

 


Add New Message

Invite people to participate