Fungua
PANGANI COAST CULTURAL TOURISM PROGRAMME

PANGANI COAST CULTURAL TOURISM PROGRAMME

PANGANI, Tanzania

TANZANIA YAWEKA REKODI: VIVUTIO VYOTE VYA TANZANIA VYAINGIA KATIKA ORODHA YA MAAJABU SABA YA ASILI BARANI AFRIKA

Na: Geofrey Tengeneza

Tanzania imeweka rekodi ya aina yake baada  ya vivutio yake vyote vitatu vilivyoingia katika shindano la kutafuta Maajabu Saba ya Asili Barani Afrika kushinda na kuingia katika orodha ya Maajabu Saba ya Asili Barani Afrika. Aidha hifadhi ya Taifa ya Serengeti kimetajwa kuwa ni kivutio pekee kilichopigiwa kura nyingi zaidi  miongoni mwa vivutio vyote vya Afrika vilivyoshindanishwa katika shindano hilo.Read more

 

« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.