Envaya

/NYEDACO: Kiswahili: WI000880BE8C4FB000057617:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili

Madhumuni ya Shirika ni kuwaunganisha wastaafu ili kupambana na umasikini na maradhi haswa Ukimwi na Malaria. Pia kutoa elimu kwa jamii ili wawe na ufahamu wa kupambana na umasikini na maradhi. Kulinda, kutunza mazingira, makazi, Rasilimali za asili {maji, mito, mabwawa, misitu na uoto wa asili

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe