Fungua
Nyakitonto youth for development Tanzania(NYDT)

Nyakitonto youth for development Tanzania(NYDT)

Head office:Kigoma ujiji,Buzebazeba ward,burega street,at mawen & Near Dr.livingstone lodge,p.o.box 890,Kigoma, Tanzania:dyouthkgm@yahoo.com.Hote line +255765794896,+255782990599.

large.jpg

Mkurugenzi wa NYDT akiwa na SIYALEO SADOKI-mwanzilishi wa asasi na mhamasishaji vijana NYDT.

large.jpg

Msanii,mwanamke akisisitiza jambo,juu ya Kuinua vipaji vya Wanawake.

large.jpg

Nyota na Mfadhili wa Kundi la HOLDAY ART GROUP_kigoma akiteta na Mratibu wa NYDT talents Kigoma.

large.jpg

M.J.Y(mosha jumanne)Mwimbaji wa BongoFlava-Kigoma:alikuwa Chagua na MWASITI alipokuwa kigoma-kulia ni Ramadhan joel-Mkurugenzi NYDT.

large.jpg

Mr.Joseph E.Majebele(Mratibu wa NYDT Talents Kigomayouth,akiwasikiliza wasanii na mabolozi.

large.jpg

Ndugu,January Gervas-Mwakilishi wa VIWAWA_ART group akifafanua jambo-Aliomba NYDT isibaki nyuma na ifanye ziara katika kundi lake ili kujionea vipaji.

large.jpg

Bi Khajira rashidi-Balozi wa NYDT Talents Kigoma akitoa neno na shukurani kwa ugeni wa Ziara ya SAVE MY TALENTS.

large.jpg

Msanii wa Filamu-Kutoka holday art Group-Kigoma akichangia mada ya namna ya Kuwapokea SAVE MY TALENTS,Ambao wanatarajia kuja KIGOMA.

NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT TANZANIA-Imekamilisha Mkakati na Maandalizi ya Kupokea Ugeni wa SAVE MY TALENTS-Kutoka Dar es salaam.

 

Mabalozi wa NYDT Talents Kigoma ambao wanawakilisha wenzao wengi hapa kigoma wanashauku na Furaha ya Ko\upekea Ugeni huu.

 

Katika Kikao cha pamoja ,Tarehe 5 na 6,oktober,2012 wamekuwa na Maswali mengi na kuomba Asasi zingine ziige mfano Nyakitonto youth for development Tanzania.

Picha za mabalozi wa NYDT Talents Kigoma zinaonekana hapa.

large.jpg

Madam prisca T.Michael mwanachama mwanzilishi wa asasi akishiriki mafunzo ya capacity Building.