Hii ndio ndoto kubwa kwa kila mmoja wetu anayetaka kuwa na mafanikio. Na usianze kujiuliza maswali ya watu walioshindwa maisha. kwa mfano wao hujiuliza maswali kama 1.ningwekeza lakini sina fedha za kutosha.
2. wakuwekeza niwe mimi mhuu haujawaona wakuwekeza ni kina Mengi n.k
3. siku nikiajiliwa nitawekeza .....
4. ukiwekeza utapata hasara .... Wewe ukitaka kuwekeza wekeza kwenye vitu ulivyo navyo kwa mfano unaweza kuwekeza kwenye Fedha, kwenye kipaji chako, kwenye ujuzi wako, kwenye muda wako n.k fanya wewe usingoje kuwa mtu wa kuangalia mambo yanatendeka na si wewe unayeyafanya yatendeke funguka.
10 Werurwe, 2015