Injira
HUDUMA YA AFYA YA JAMII MTWARA
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Shida wanazozipata wanafunzi wa Mtwara Mikindani na Mtwara vijijini kwenda na kurudi shuleni.

Deo Makoti (Katibu)
30 Gicurasi, 2011 at 18:11 EAT

Kuna tabu kubwa sana inayowkumba wanafunzi wa shule zilizo nje kidogo ya mjini kwa kuwa wanakataziwa na makonda kupanda na wasafiri wakubwa hatuwasaidii kuwatetea watoto hawa halafu tunalaani kufeli kwao tukiilaumu serikali kutokuwa na miundo mbinu wakati sisi hatusapoti chochote.

MTWARA POVERTY FIGHTERS GROUP (MTWARA MJINI)
10 Ugushyingo, 2011 at 11:30 EAT (edited 26 Werurwe, 2012 at 08:07 EAT)

@Deo Makoti (Katibu): 

DEO ULILOSEMA NI KWELI LAKINI NAFIKIRI NJIA SAHIHI NI KUTAFUTA UFUMBUZI WA TATIZO LA USAFIRI WA WANAFUNZI HAPO MTWARA. MFANO NI VEMA WANAFUNZI NA WAZAZI WAKAJIUNGA NA SHULE ZILIZO KARIBU NA MAKAZI YAO. PILI WAZAZI WANAWEZA KUWEKA UTARATIBU WA KUCHANGIA GHARAMA KAMA WALE WA SHULE ZA BINAFSI AMBAO NAAMINI HAWAPATI TATIZO HILI KWA KIASI KIKUBWA.


Andika ubutumwa (Hisha)

Birashakisha...
Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.