Kuna tabu kubwa sana inayowkumba wanafunzi wa shule zilizo nje kidogo ya mjini kwa kuwa wanakataziwa na makonda kupanda na wasafiri wakubwa hatuwasaidii kuwatetea watoto hawa halafu tunalaani kufeli kwao tukiilaumu serikali kutokuwa na miundo mbinu wakati sisi hatusapoti chochote.
DEO ULILOSEMA NI KWELI LAKINI NAFIKIRI NJIA SAHIHI NI KUTAFUTA UFUMBUZI WA TATIZO LA USAFIRI WA WANAFUNZI HAPO MTWARA. MFANO NI VEMA WANAFUNZI NA WAZAZI WAKAJIUNGA NA SHULE ZILIZO KARIBU NA MAKAZI YAO. PILI WAZAZI WANAWEZA KUWEKA UTARATIBU WA KUCHANGIA GHARAMA KAMA WALE WA SHULE ZA BINAFSI AMBAO NAAMINI HAWAPATI TATIZO HILI KWA KIASI KIKUBWA.