Fungua
HUDUMA YA AFYA YA JAMII MTWARA

NGOME imefungua tawi jingine la klabu ya wanafunzi kama zilivyo klabu zingine za NGOME katika shule za sekondari ya Mikindani na Mitengo. Klabu hiyo ya NGOME imefunguliwa katika shule ya sekondari NDUMBWE Mtwara vijijini. Klabu hizi ni kwaajili ya Elimu ya Afya ya Uzazi na Stadi za Maisha kwa wanafunzi wa sekondari, ambao hufundishwa na wataalam wa Afya kutoka NGOME na kufundishana wao kwa wao{UELIMISHAJI RIKA} baada ya kupata mafunzo kutoka  kwa wataalam.

23 Julai, 2011
« Iliyotangulia

Maoni (3)

[maoni yamefutwa]
Juma Mbulu (NGOME-Mtwara) alisema:
Katika kupambana na adui ujinga na janga la watu wazima wasiojua kusoma na kuandika,NGOME imefungua darasa la watu wazima katika shule ya msingi Ufukoni katika Manispaa ya Mtwara-Mikindani.NGOME inaishukuru ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa kwa kuturuhusu kufungua darasa kwenye shule hiyo.
7 Oktoba, 2011
ulaya nkanyama (ndanda) alisema:
hongera kaka juma kwa mafanikio makubwa. kwani nikimaliza nitakuwa mmoja wa waatalamu hapo ofisini.lakini kaka naiomba ngome ije kwanye maafafi yangu mwezi wa 12 tarehe 3 . msalimile kaka makoti .na wanachama wote wa ngome kwani mambo si mambaya
2 Novemba, 2011
AMAJAP mbioni kufunguliwa,get ready Mkuranga na Maeneo yake
7 Julai, 2015

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.