mwenyekiti wa mwela tawi la vuga Salimina magogo akikabidhi taalifa ya mwela kwa katibu wa Mbunge januari makamba.wakati alipokuja kutembelea Asasi za kirai na kujua mambo mbalimbali na shughuli zao
Kushoto ni mwenyekiti wa Mwela makao makuu fikiri mvugaro.katikati ni katibu wa mwela tawi la vuga sikudhani na kulia ni mwenyekiti wa mwela tawi la vuga Salimina magogo wakiendesha mdahalo wa vijana
Mwenyekiti wa mwela tawi la vuga Salimina magogo akiwa na katibu wake sikudhani wakati wakiwa kwenye mjadala katika ukumbi wa vuga
mwenyekiti wa mwela Salimina magogo akiwa na wageni kutoka Asasi ya CHAMAKIVU na bwana shamba wa wilaya ya lushoto
afisa kilimo wa wilaya ya lushoto akiwa katika ofisi ya mwela vuga wakiuliza maswali alipokuja kutembelea ofisi hiyo
mweshimiwa Januari makamba akiwa ofisi ya CHAMAKIVU akiwa na muhazini ndugu hassani sheshe na mwenyekiti wa mwela tawi la vuga Salimina magogo