Picha hapo juu ni: washiriki wa mkutano wa utoaji wa maoni ya rasimu ya mabadiliko ya katiba mradi uliendeshwa na Mwela theare grou vuga na kufadhiliwa na the foundation for civil society
Picha hapo juu ni:Kulia ni mwenyekiti wa mwela theatre group tawi la vuga Salimina Magogo akifungua mkutano wa rasimu ya katiba na akielezea juu ya lengo kuu la mkutano huo mradi uliofadhiliwa na The foundation for civil society na kutekelezwa na Mwela theatre group tawi la vuga
baadhi ya washiriki wakishuka katika gari wakiwa tayari kuelekea ukumbi wa Mkutano
Mzee yusuphu makamba akiwa na mkewe wakiwa katika mkutano wa wakazi wa jimbo la Bumbuli waishio Dar na Pwani juu kujadiliana maendeleo ya jimbo lao
Kikundi cha ngoma kijulikanacho Mount Usambara Voice kikitoa burudani katika mkutano huo
Mratibu wa Chama cha maendeleo ya kiuchumi na Kijamii vuga (CHAMAKIVU) Jumaa Dhahabu akiwa na shehe wa Kata ya Vuga Jimbo la Bumbuli wakiwa eneo la Mkutano
Katibu wa CCM wilaya ya Lushoto Bw. Loth Ole Lemeirut (kushoto)na mwanakamati wa shirika la Bumbuli Bw. Naaman Shauri wakifuatilia kwa umakini mada iliokuwa ikiendelea katika mkutato huo
Mzee Yusuphu Makamba akiwa na Kikundi cha ngoma kijulikanacho Mount Usambara Voice kikitoa burudani katika mkutano huo
Wakazi kutoka jimbo la bumbuli wakiwa katika mkutano wa kujadili maendeleo ya ya Bumbuli
Mzee Yusuphu Makamba akiwa na Kikundi cha ngoma kijulikanacho Mount Usambara Voice kikitoa burudani katika mkutano huo