Log in
MWELA THEATRE TAWI LA VUGA

MWELA THEATRE TAWI LA VUGA

WILAYA YA LUSHOTO KATA YA VUGA , Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Mkurugenzi wa shirika la Bumbuli Bw. Najim Msenga (kushoto), mwenyekiti mteule wilaya ya Bumbuli Bw. Amiri Sheiza (kulia)katibu wa CCM wilaya ya Lushoto Bw. Loth Ole Lemeirut (katikati)wakijadiliana jambo mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo leo

large.jpg

Kikundi cha ngoma kijulikanacho Mount Usambara Voice kikitoa burudani katika mkutano huo

large.jpg

Mbunge wa jimbo la Bumbuli Mhe. January Makamba akiongea na wakazi kutoka wilaya ya Lushoto jimbo la Bumbuli katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo mkutano huo ulikuwa unajadili maendeleo ya jimbo la Bumbuli na kutambulisha shirika la maendeleo la Bumbuli, January Makamba amesema katika kipindi cha mwaka 2011-2012 kiwango cha elimu ya wilaya hiyo imekuwa chini na kusababisha vijana wengi katika mkoa wa Tanga kuwa na sifa ya kuuza chipsi na kubeba mizigo badala ya kufanya kazi kwenye makampuni

Tangazo :Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, Mheshimiwa Januari Makamba  anapenda kuwaalika wenyeji wa Jimbo  la Bumbuli waishio Mkoa wa Dar-es-Salaam na Mkoa wa Pwani katika mkutano utakaojadili maandeleo ya Jimbo lao.  Mkutano utafanyika tarehe 4/8/2012 katika ukumbi wa KARIMJEE jijini DSM kuanzia saa tatu hasubuhi hadi saa saba mchana tafadhali  ukilipata tangazo ili mtaalifu na mwenzako

 

wako mwenyekiti wa mwela theatre group vuga  Salimina Magogo

large.jpg

wa pili kutoka kushoto ni muhasibu wa mwela tawi la vuga ndugu Hassani Sheshe akiwa na Raisi Jakaya Mrisho Kikwete

large.jpg

wanafunzi wa shule ya bazo kata ya vuga wilaya ya lushoto whasubui na mapema wakienda kuchukuwa kuni kwa matumizi ya chakula chao cha mchana

large.jpg

mwenyeki wa mwela theatr group akiwa katika mgahawa akila chakula cha Asili ya Kisambaa unaojulikana kwa jina la bada kushoto ni muhasibu wa mwela Hassani sheshe

large.jpg

mwenyekiti wa mwela theatre group Fikiri mvugaro akionyesha ujumbe wa kuwataka wananchi kushiriki katika serikali za mita/vijiji ujumbe ambao ulikuwa katika kradi wa utawala bora uliofadhiliwa na Foundation for Civil Society na sasa mwela inauendeleza katika mikoa ya pwani na tanga kwa kuchapisha frana na kuzigawa kwa matawi yake tawi la mwela vuga na mwela pwani

large.jpg

katibu wa Mbunge akiwa na mwenyekiti wa mwela theatre vuga Salimina magogo