mkuu wa wilaya ya Misungwi akiingia ofisi ya MISUNGWI VIJANA SACCOS akiwa amefuatana na mwenyekiti wa bodi ya Saccos hiyo bwana ABDALLAH MOHAMED RAMADHAN ,AFISA UTAMADUNI NA MICHEZO , AFISA VIJANA WA WILAYA AMBAYE PIA NDIO KATIBU WA SACCOS HIYO. ambayo hivi sas imekuwa suluhisho kwa wajasiriamali wadogo wa misungwi
storyteller will broaden our mind engage, provoke,inspire ,and ultimately connect us with real happines moment please be a part of LAKE VICTORIA INDEPENDENT FILM FESTIVAL[LAVIFF] Mission to discover and foster independent artist your contribution will advance the work of artist within the lakezone through sponsoring supporting, advocating,promoting and talk positive to other people about our program will allow us to continue providing a new and sustainable ARTIST PLATFORM to share their effort ,creativity networking please make a difference today and join our ART FAMILY and support thank you for ensuring that your original supporter for lakezone and tanzanian independent artist we hope to have you in upgrading the work of art from the lakezone please support our VOICE by any means.please show your support by liking this message do it for the benefit of Lakezone artist thanks a lot for that togahter we can
DR JOEL SILAS akielezea juu ya fursa na Miradi inayotekelezwa na UNDP kwa vijana akiwa Misungwi, Pembeni kulia Afisa maendeleo ya vijana [W] Misungwi ,Akifuatilia maelekezo ya Dr. kwa umakini mkubwa.
MR AGAPE TOM mshauri elekezi wa UNDP akifafanua jambo mbele ya wanachama wa Misungwi vijana saccos na jukwaa la vijana wa Misungwi.
WAGENI WA UNDP DR JOEL SILAS WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KITENGO CHA UCHUMI NA MR AGAPE TOM MSHAURI ELEKEZI WA UNDP WALIPOTEMBELEA OFISI YA VIJANA SACCOS NA JUKWAA LA VIJANA MISUNGWI,ANAONEKANA MWENYEKITI WA JUKWAA LA VIJANA MISUNGWI BI JESCA ALLY JUMA AKITOA MUHTASARI WA SHUGHULI ZA SACCOS PAMOJA NA JUKWAA LA VIJANA KWA WAGENI WA UNDP.