Fungua
MISUNGWI YOUTH PLATFORM

MISUNGWI YOUTH PLATFORM

MWANZA, Tanzania

DR JOEL SILAS  akielezea juu ya fursa na Miradi  inayotekelezwa na UNDP kwa vijana  akiwa Misungwi, Pembeni kulia Afisa maendeleo ya vijana [W] Misungwi ,Akifuatilia maelekezo ya Dr. kwa umakini mkubwa.

 

 

 

 

MR AGAPE TOM mshauri elekezi wa UNDP akifafanua jambo mbele ya wanachama wa Misungwi vijana  saccos na jukwaa la vijana wa Misungwi.

WAGENI WA UNDP DR JOEL SILAS  WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KITENGO CHA UCHUMI NA MR AGAPE TOM MSHAURI ELEKEZI  WA UNDP  WALIPOTEMBELEA OFISI YA VIJANA SACCOS NA JUKWAA LA VIJANA MISUNGWI,ANAONEKANA MWENYEKITI WA JUKWAA LA VIJANA MISUNGWI  BI JESCA ALLY JUMA AKITOA MUHTASARI WA SHUGHULI ZA SACCOS PAMOJA NA JUKWAA LA VIJANA KWA WAGENI WA UNDP.