Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Baadhi ya waharibifu wa mazingira na pia watumiaji wa madawa ya kulevya zikiwemo bangi katika Mji wa Mwanakwerekwe wakiteremsha mchanga waliouchimbwa katika maeneo yasioruhusika na kupelekea athari mbali mbali katika jamii. MEECO inatoa elimu kuhusu uharibifu wa mazingira uliokithiri katika mji huo na Zanzibar yote kwa ujumla
September 22, 2011