Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Mwenyekiti wa kitengo cha Mazingira ambaye pia ni diwani wa viti maalum akihutubia moja ya vikao tendaji vya jumuiya hiyo

large.jpg

Moja ya vijana walioathirika kutokana na ukosefu wa elimu ya maadili ndani ya Mji wa Mwanakwerekwe. Vijana hawahawa huwa ndio waharibifu wakubwa wa mazingira hususan kwa uchimbaji wa mchanga katika mji huo na maranyigi ni vigumu sana kuwakabili kwani huwa na silaha kama mapanga,visu nk. MEECO inawakati mgumu na kazi nzito kuhakikisha suala hilo linaondika kabisa katika jamii ya Zanzibar

large.jpg

Moja ya Vikao vya MEECO katika kujadili mas-ala ya utendaji wa jumuiya hiyo kikihutubiwa na Mshauri wa kigeni wa MEECO Bi. Katrina

large.jpg

Katibu wa MEECO Nd. Suleiman J. Pandu akiwa na Mshauri wa kigeni wa jumuiya hiyo Bi. Katrina moja katika dhiara zao za kuangalia hali ya mazingira katika kijiji cha Makunduchi kilioko mkoa wa kusini Unguja

large.jpg

Shimo kubwa linalochimbwa Mchanga na vijana waharibifu wa mazingira liliopo mtaani katika mji wa Mwanakwerekwe-Taveta ni miongoni mwa athari za uharibifu wa mazingira katika mji huo

large.jpg

Mchanga uliochimbwa katika maeneo yasioruhusika ukiwa umekwisha uzwa. Hali ambayo inachangia wa kiasi kikubwa uharibifu wa mazingira katika Mji wa Mwanakwerekwe

large.jpg

Baadhi ya waharibifu wa mazingira na pia watumiaji wa madawa ya kulevya zikiwemo bangi katika Mji wa Mwanakwerekwe wakiteremsha mchanga waliouchimbwa katika maeneo yasioruhusika na kupelekea athari mbali mbali katika jamii. MEECO inatoa elimu kuhusu uharibifu wa mazingira uliokithiri katika mji huo na Zanzibar yote kwa ujumla

large.jpg

Mgeni rasmi katika Sherehe ya kumuaga mshauri wa kigeni wa jumuiya ya MEECO akimkabidhi Bi. Katrina zawadi mbalimbali zilitolewa na wanajumuiya hiyo

large.jpg

Mh.Mwanaidi Kassim akitia saini Certificate of appriciation na kumkabidhi mshauri wa kigeni wa jumuiya ya MEECO kutokana na utendaji kazi wake mzuri, katika sherehe za kumuaga zilizofanyika Melinne Mbarali Zanzibar

large.jpg

Mh.Mwanaidi Kassim ambaye ndiye aliyekuwa Mgeni rasmi akimkabidhi Certificate of appriaciation Mshauri wa kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bi. Katina. katika sherehe ya kumuaga zilizofanyika Melinne Mbarali Zanzibar