Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Wanachama wa MEECO na jumuiya rafiki ya SUZA AMERICAN CORNER wakiwa katika mkutano rasmi wa sherehe ya kumuaga Mshauri wa kigeni wa jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demmulang iliyofanyika  Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja wilaya ya Magharib

large.jpg

Vijana MEECO TALENT GROUP (MTG) wakiwa na viatu vyao baada ya mshauri wao wa kigeni Bibi Katrina Demmuling kuwasaidia fedha kidogo za kununulia vifaa vyao zikiwemo nguo na raba ambazo wanazo hapo

large.jpg

Vijana wa MEECO TALENT GROUP(MTG) wakiwa katika matembezi hoteli ya Marumbi iliyoko Mkoa wa kusini Unguja wilaya ya Kati baada ya kufanya majaribio ya maonesho yao na kukubalika na Meneger wa hoteli hiyo

large.jpg

Mwenyekiti wa jumuiya ya MEECO Nd. Abdallah Ali Hassan akitafakari baada ya kuitikiab mualiko wa kushiriki katika zoezi la usafishaji wa mazingira lililo andaliwa na jumuiya rafiki.

large.jpg

Msaidizi Katibu Nd. Abdallah Saleh Fatawi (aliyesimama mkabala na jembe) na Mshika fedha wa MEECO Nd.Fred Mont Kasambala wakiwa katika harakati za usafi wa mazingira

large.jpg

Viongozi na wanachama wa jumuiya ya Mwanakwerekwe Environmental Ethics and Cultural Organization MEECO) wakiwa katika harakati za usafi wa mazingira katika maeneo yaliyo wazunguka

large.jpg

Miongoni mwa vitendo vya ajabu vinavyooneshwa na vijana wadogo wa MEECO TALENT GROUP katika harakati za kuwakaribisha wageni kutoka shirika la Thefoundationfor civil society tarehe 4/9/2011

large.jpg

Vijana wa MEECO TALENT GROUP(MTG) wakiwa katika onesho lao la kuwakaribisha wageni kutoka Shirika la thefoundation for civil society

large.jpg

Vijana wa MEECO TALENT GROUP (MTG) wakiwa katika harakati zao za kuwapokea wageni kutoka shirika la Thefoundation for Civil society baada ya shirika hilo kuitembelea Asasi ya MEECO

large.jpg

Maafisa kutoka Shirika la The foundation for Civil Society la Dar-es-salaam wakiwa katika dhiara yao ya kuitembelea Asasi ya MEECO baada ya kupokelewa kwa maombi yao ruzuku wa mradi wa kujengewa uwezo uliotumwa na jumuiya ya MEECO shati rangi ya chungwa ni Katibu wa jumuiya ya MEECO Nd. Suleiman J. Pandu, kushoto kwake ni M.Kiti kitengo cha Mazingira cha Asasi ya MEECO Nd. Halima Salum na pia ni diwani wa viti maalum