Envaya

/MEECO/news: English

BaseEnglish
(image) – Katibu wa MEECO Nd. Suleiman J. Pandu akiwa na Mshauri wa kigeni wa jumuiya hiyo Bi. Katrina moja katika dhiara zao za kuangalia hali ya mazingira katika kijiji cha Makunduchi kilioko mkoa wa kusini Unguja(image) – Secretary of MEECO ND. Suleiman J. Pandu with Foreign Adviser Mrs. community. Katrina one look at their dhiara conditions Makunduchi village in the southern region of what is ZanzibarEdit
(image) – Mchanga uliochimbwa katika maeneo yasioruhusika ukiwa umekwisha uzwa. Hali ambayo inachangia wa kiasi kikubwa uharibifu wa mazingira katika Mji wa Mwanakwerekwe(image) – Sand was ochimbwa yasioruhusika desolate areas has already been sold. Conditions which significantly contributes to environmental degradation in the City of MwanakwerekweEdit
(image) – Shimo kubwa linalochimbwa Mchanga na vijana waharibifu wa mazingira liliopo mtaani katika mji wa Mwanakwerekwe-Taveta ni miongoni mwa athari za uharibifu wa mazingira katika mji huo(image) – Sand pit linalochimbwa and youth environmental degradation liliopo street in the city of Mwanakwerekwe-Taveta are among the effects of pollution in the cityEdit
(image) – Moja ya Vikao vya MEECO katika kujadili mas-ala ya utendaji wa jumuiya hiyo kikihutubiwa na Mshauri wa kigeni wa MEECO Bi. Katrina(image) – One of MEECO Sessions to discuss matters pertaining to the performance of community kikihutubiwa and Foreign Advisor Ms. MEECO. KatrinaEdit
(image) – Mgeni rasmi katika Sherehe ya kumuaga mshauri wa kigeni wa jumuiya ya MEECO akimkabidhi Bi. Katrina zawadi mbalimbali zilitolewa na wanajumuiya hiyo(image) – Guest of honor at the farewell ceremony of the foreign consultant community MEECO he presented Ms. Katrina gifts were given to the communityEdit
(image) – Mh.Mwanaidi Kassim akitia saini Certificate of appriciation na kumkabidhi mshauri wa kigeni wa jumuiya ya MEECO kutokana na utendaji kazi wake mzuri, katika sherehe za kumuaga zilizofanyika Melinne Mbarali Zanzibar(image) – Kassim Mh.Mwanaidi signing the Certificate of appriciation and extraditing foreign consultant MEECO community due to its good performance, in a farewell ceremony held Melinne Mbarali ZanzibarEdit
(image) – Moja ya vijana walioathirika kutokana na ukosefu wa elimu ya maadili ndani ya Mji wa Mwanakwerekwe. Vijana hawahawa huwa ndio waharibifu wakubwa wa mazingira hususan kwa uchimbaji wa mchanga katika mji huo na maranyigi ni vigumu sana kuwakabili kwani huwa na silaha kama mapanga,visu nk. MEECO inawakati mgumu na kazi nzito kuhakikisha suala hilo linaondika kabisa katika jamii ya Zanzibar(image) – One of the teenagers who suffer from a lack of ethics within the City of Mwanakwerekwe. These youngsters do not have the severe environmental degradation, particularly for the extraction of sand in the city and maranyigi is very difficult to approach but it is not with weapons like swords, knives etc. MEECO inawakati hard and heavy work to ensure it completely linaondika community in ZanzibarEdit
(image) – Mwenyekiti wa kitengo cha Mazingira ambaye pia ni diwani wa viti maalum akihutubia moja ya vikao tendaji vya jumuiya hiyo(image) – Chairman of the Environment Unit, who is also a councilor of the quota while addressing one of the executive sessions of the communityEdit
(image) – Mh.Mwanaidi Kassim ambaye ndiye aliyekuwa Mgeni rasmi akimkabidhi Certificate of appriaciation Mshauri wa kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bi. Katina. katika sherehe ya kumuaga zilizofanyika Melinne Mbarali Zanzibar(image) – Mh.Mwanaidi Kassim who was guest of honor was presented Certificate of foreign appriaciation Advisor Ms. MEECO Community. Katina. at the farewell ceremony held Melinne Mbarali ZanzibarEdit
(image) – Baadhi ya waharibifu wa mazingira na pia watumiaji wa madawa ya kulevya zikiwemo bangi katika Mji wa Mwanakwerekwe wakiteremsha mchanga waliouchimbwa katika maeneo yasioruhusika na kupelekea athari mbali mbali katika jamii. MEECO inatoa elimu kuhusu uharibifu wa mazingira uliokithiri katika mji huo na Zanzibar yote kwa ujumla(image) – Some environmental degradation and drug users, including marijuana in the City of Mwanakwerekwe been revealed sand were dug in areas yasioruhusika leading to various effects in the community. MEECO provides education about environmental degradation and poverty in Zanzibar town all generalEdit