Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Kurahisisha maendeleo ya wananchi wa wilaya ya Njombe ili wawe na maisha bora kwa kila mwananchi
Latest Updates
Mseti Development Association created a Projects page.
Kazi za MDA – 1.Kusaidia WAVIU wa tarafa ya Imalinyi ufugaji wa kuku wa kienyeji ili waweze kupata kipato na lishe bora kutokana na ufugaji wa kuku – 2.Utawala bora.MDA inaelimisha jamii juu ya ushirikishwaji katika kutoa maamuzi yao wenyewe ya kuleta maendeleo kwenye vijiji vyao.mradi huu upo katika tarafa za lupembe na... Read more
July 11, 2011
Mseti Development Association joined Envaya.
July 11, 2011
Sectors
Location
Njombe, Iringa, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations