Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

1.Kuwahudumia watoto/vijana walio katika mazingira magumu zaidi ili kuwatoa katika umasikini wa aina nne zifuatazo;

-Kiuchumi;kwakukutoa elimu ya ujasiliamali kwa wazazi/walezi wa mtoto

               ;kwakuhakikisha mtoto/kijana anapata elimu sahihi

                ;kwakumpatia kijana elimu ya ujasiliamali pia elimu yakuendeleza vipaji vyake.

-Kiroho: kwakumfundisha mtoto/kijana maadili ya Kiroho ili awe nauhusiano mzuri na Mungu wake.

-Kimwili: Kuhakikisha mtoto/kijana anapata matibabu sahihi auguapo

            :Kutoa elimu ya lishe kwa familia anayoishi mtoto/kijana

-Kijamii: Kumfundisha mtoto/kijana namna yakuyatawala mazingira yake pia anavyotakiwa kuhusiana na watu wanaomzunguka.