Injira
MAISHA Foundation

MAISHA Foundation

Tabora, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

lengo la shirika letu ni kutoa elimu juu ya kujikinga na maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI  kwa vijana kuanzia umri wa miaka 18 na kuendelea.

Amakuru agezweho
MAISHA Foundation yakoze Amateka paje.
Shirika letu lilianza mwaka 2008 kwa lengo la kuboresha maisha ya wanajamii katika jamii yetu inayotuzunguka ili iweze kujikinga na maambukizi ya VVU haswa walengwa wakiwa ni vijana kati ya miaka 18 hadi 45 ambao ndio nguvu kazi ya taifa. Shirika lilianza kwa kutoa eimu kwa njia za kukusanya makundi rika, wanafunzi mashuleni na wafanyakazi za... Soma ibindi
13 Kamena, 2012
MAISHA Foundation yasanze Envaya.
13 Kamena, 2012
Ibyiciro
Aho uherereye
Tabora, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye