"Kuwa asasi inayofanya kazi na makundi ya jamii za chini ambayo yamedhamiria pamoja na kutumia fursa za uwepo wa mali za asili katika uwekezaji wenye faida endelevu isiyo na athari kwa kizazi cha sasa na kijacho"
Mabadiliko Mapya
LUSANGA ENVIRONMENTAL GRASSROUTES EMPOWERMMENT GROUP imeumba ukurasa wa Timu.
MOHAMED ZUBERI MASASANI - MKURUGENZI MTENDAJI – NASSIBU JUMA MNYANDWA - AFISA UTAWALA. – MWANAHAMISI ATHUMANI MKALAMI -MRATIBU WA FEDHA. – MSENGA AMIR -MWANACHAMA.
5 Januari, 2013
LUSANGA ENVIRONMENTAL GRASSROUTES EMPOWERMMENT GROUP imeumba ukurasa wa Jitolee.
Organization inakaribisha wadu wenye mapenzi meme katika utunzaji wa mazingira kuungana nasi kuhakikisha kuwa mji wa Turianai na vitongoji vyake vinanawiri kwa kuwa na uoto mzuri na kurejesha baioanwai zilizopotea kutokana na shughuli za kila siku za binadamu.
5 Januari, 2013
LUSANGA ENVIRONMENTAL GRASSROUTES EMPOWERMMENT GROUP imeumba ukurasa wa Historia.
Kuanzishwa kwa Asasi hii kumetokana na mawazo ya wanajamii wakulima na wafugaji ambao ni wadau wa utunzaji wa mazingira wanaoishi katika maeneo yanayojihusisha na kilimo cha zao la miwa katika Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro. – Pamoja na ummuhimu wa zao la muwa kama mali ghafi ya utengenezaji wa bidhaa ya sukari lakini eneo zima... Soma zaidi
5 Januari, 2013
LUSANGA ENVIRONMENTAL GRASSROUTES EMPOWERMMENT GROUP imeumba ukurasa wa Mkuu.
"Kuwa asasi inayofanya kazi na makundi ya jamii za chini ambayo yamedhamiria pamoja na kutumia fursa za uwepo wa mali za asili katika uwekezaji wenye faida endelevu isiyo na athari kwa kizazi cha sasa na kijacho"
5 Januari, 2013
LUSANGA ENVIRONMENTAL GRASSROUTES EMPOWERMMENT GROUP imejiunga na Envaya.
5 Januari, 2013
Sekta
Sehemu
TURIANI, Morogoro, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu