Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

Thanks to Mr.Mashala from LGTI who donate 100,000Tzs every month for these kids to have porriage at school.May God Bless him,his family,his work,his livestock,his farms and workers.They still need a class as you can see they are outside.DONATE:lati.tanzania@yahoo.com.Tunamshukuru Bw.Mashala kwa kuchangia 100,000Tzs kila mwezi kwa ajili ya kuwapatia watoto hawa uji wakiwa shuleni.Mungu ambariki yeye na familia yake,kazi yake ,mashamba yake ,mifugo na wafanyakazi wake.Bado wanahitaji darasa kama unavyoona wako nje,wananywea uji wao nje,TUNAOMBA MCHANGO WAKO KUFANIKISHA HILI:lati.tanzania@yahoo.com

30 Mata, 2013
« Inyuma Ahakurikira »

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.