Fungua
Jumuiya ya Vijana Waliyosoma Elimu Mbadala Fani  ya Utalii

Jumuiya ya Vijana Waliyosoma Elimu Mbadala Fani ya Utalii

Zanzibar, Tanzania

Lengo kuu ni kustawisha maendeleo kwa vijana walohitimu elimu mbadala katika fani ya Utalii na wakiwemo wafuaji, wapokeaji wageni, na watunzaji nyumba

Mabadiliko Mapya
Jumuiya ya Vijana Waliyosoma Elimu Mbadala Fani ya Utalii imeongeza Voluntary Nature Services (VNS) kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
23 Aprili, 2012
Jumuiya ya Vijana Waliyosoma Elimu Mbadala Fani ya Utalii imeumba ukurasa wa Timu.
Mwenyekiti Abdulgadir Amin Ahmed – Makamo Mwenyekiti Khamis Abdullah Abdillahi – Katibu Mkuu Fatma Amour Khamis – Naibu Katibu Mkuu Jamila Abdullah Khamis – Mshika... Soma zaidi
23 Aprili, 2012
Jumuiya ya Vijana Waliyosoma Elimu Mbadala Fani ya Utalii imeumba ukurasa wa Historia.
Imeundwa mwaka 2011 na kusajiliwa 2012. Viongozi ni wa kuchaguliwa katika Mkutano Mkuu na sasa wanaendelea na shughuli zao. Wanachama wote walihitimu kituo cha Elimu Mbadala, Rahaleo, Zanzibar na wana azma yakujiendeleza na kuhimiza vijana wenzao wajitume kwa kupata mafunzo ya amali
23 Aprili, 2012
Jumuiya ya Vijana Waliyosoma Elimu Mbadala Fani ya Utalii imejiunga na Envaya.
23 Aprili, 2012
Sekta
Sehemu
Zanzibar, Unguja Mjini Magharibi, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu