Injira
INTEGRAL ASSISTANCE TO VULNERABLE CHILDREN (IAVC)

INTEGRAL ASSISTANCE TO VULNERABLE CHILDREN (IAVC)

Zanzibar, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

Awali yote napenda kuomba radhi kwa kuchelewa kujibu. Kuhusu suala la jengo kwa ajili ya kufanyia kazi kwa upand wa asasi zetu. Sasa tunafanya nini ili tuweze kutatua tatizo hilo. Naomba muongozo wenu ili tuweze kuona uwezekano wa kusaidiana katika suala hii ambalo lime zikabili asasi hapa nchini kwetu.