Kuwahudumia watoto yatima na kuwapa maadili ya kiroho pia ni jamnbo jema kwao kama inavyoonekana kwa watoto hawa ambao baadhi yao wamebatizwa na kubarikiwa
Huduma inayotolewa na Hucade ni pamoja na kuwasaidia walemavu wa viungo kama binti huyu anavyoonekana baada ya kukatwa katwa na watu wasiojulikana, hata hivyo Mungu Ameweza kumsaidia ameponya roho yake japo hana kiungo muhimu hivyo kutegemea msaada wa watu wengine.
Watoto wakiwa wamechoka baada ya kutoka uwanja wa mpira wakiwa na mwalimu wa pamoja na Sophia
watoto wakiwa pamoja na volunteer Sophia katika pozi kwa maandalizi ya Xmas kwani anawahamasisha watu wenye huruma wawasaidie watoto hawa kupitia maandishi hayo.
Watoto wakiwa wanakunywa chai mara baada ya masomo ya ziada kituoni
Volunteer Sophia akiwa na watoto wakila matunda katika shamba la strawberry