Envaya
/HUCADE/news
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
(image) – watoto wakiwa pamoja na volunteer Sophia katika pozi kwa maandalizi ya Xmas kwani anawahamasisha watu wenye huruma wawasaidie watoto hawa kupitia maandishi hayo.
(Not translated)
Hindura
(image) – karibu tule matunda hayaaaaa!!!
(Not translated)
Hindura
(image) – Volunteer Sophia akiwa na watoto wakila matunda katika shamba la strawberry
(Not translated)
Hindura
(image) – Kuwahudumia watoto yatima na kuwapa maadili ya kiroho pia ni jamnbo jema kwao kama inavyoonekana kwa watoto hawa ambao baadhi yao wamebatizwa na kubarikiwa
(Not translated)
Hindura
(image) – Hapa ni watoto wa kituo wakiimba pamoja na mkurugenzi wao.
(Not translated)
Hindura
(image) – Watoto wakiwa wamechoka baada ya kutoka uwanja wa mpira wakiwa na mwalimu wa pamoja na Sophia
(Not translated)
Hindura
(image)
(Not translated)
Hindura
(image) – Watoto wa kituo wakifurahia na kucheza muziki .
(Not translated)
Hindura
(image) – Huduma inayotolewa na Hucade ni pamoja na kuwasaidia walemavu wa viungo kama binti huyu anavyoonekana baada ya kukatwa katwa na watu wasiojulikana, hata hivyo Mungu Ameweza kumsaidia ameponya roho yake japo hana kiungo muhimu hivyo kutegemea msaada wa watu wengine.
(Not translated)
Hindura
(image) – Watoto wakiwa wanakunywa chai mara baada ya masomo ya ziada kituoni
(Not translated)
Hindura