DAKEDEO NA USHIRIKIANO NA ASASI YA UNA.
DAKEDEO.Imeanza kushirikiana na mashirika mengine yenye lengo la kulete mabadiliko chanya kwa jamii.
Katika kufanya hivyo DAKEDEO imeanzisha ushirikiano na ASASI ya UIGIZAJINA NGOMA ZA ASILI (UNA), KAMPUNI YA UCHUKUAJI WA KUMBUKUMBU YA SIGNAL ONE LTD ya Dar es salaam'
Lengo la ushirikiano huo ni kuona kuwa asasi hizi zinafanya kazi pamoja katika njia ya kubadilishana uzoefu,
HIVI KARIBUNI MASHIRIKA HAYA YANATEGEMEA KUFANYA MRADI WA PAMOJA WA KUCHUKUA KUMBUKUMBU YA KAZI MAALUM YENYE MTAZAMO WA KIMAFUNZO JUU YA ELIMU YA UZAZI KAMA HAKI YA VIJANA.
DAKEDEO NA USHIRIKIANO NA ASASI ZA KIRAIA .
DAKEDEO Imeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wanachama wa asasi za kiraia zilizopo Wilaya ya Mvomero kwa lengo la kuziongezea ufahamu juu ya Mbinu mbalimbali za Kiungozi katika kuleta Mafanikio katika kukuwa kwa asasi hizo.
Asasi zilizonufaika na mafunzo hayo ni pamoja na asasi ya WECA (WOMEN ENVIRONMENT CONCERVATION ASSOCIATION) asasi yenye makao yake makuu Wikaya ya Mvomero Mtibwa,
Asasi nyingine iliyonufaika na mafunzo hayo ni pamoja na USHIRIKIANO GROUP Iliopo katika Wilaya ya Mvomero Kata ya Kidudwe.
katika makubalianoya baadae DAKEDEO inatarajia kutekeleza miradi yaubia na asasi za kijamii za wilaya ya Mvomero (CBO).
Zaidi ya hapo DAKEDEO ina mpango pia wa kutoa mafunzo ya matumizi ya Kompyuta kwa Wanachama wa asasi mbalimbali katuka wilwya ya Mvomero ,mafunzo yanayotarajiwa kufanyika katika mwezi wa Julai mwaka 2013.
DAKEDEO AUGUST-SEPTEMBER PROGRAM.
We are enviting people to join in our comming Computer course program to be introduce in Kinole ward and Wami Dakawa Ward respectively.
This short course will take almost the period of eight weeks and schedule to begin with those who have the intest of using computter technology in their activities.
LEARN MORE ABOUT DAKEDEO.(DAKEDEO CONSTITUTION)
AREA OF OPERATION .
DAKEDEO shall conduct its operations throughout the geographical area of Tanzania Mainland.
DAKEDEO MOTTO.
HOST;
> Honesty (Aminifu)
>Openness (Uwazi)
>Service (Huduma)
>Integrity (Uadilifu)
Objectives.
>To promote the inceptiption and development of viable economic activities that are directtly connected with the improvement of the standard of living of individuals groups and others that have set their minds on extricating themselves from poverty.
In order to realize this objectives there will be a need to rise the neccesary capital by sesitizing the target group to mobilize their own financial resources and set up their own financial instituons sush as saving and credit cooperative societies.In addition capital from local and foreign credit organizations or from patner NGOs for funding Socio-economic activities will be sought.
To indulge in charitable activities that help remove the yorkof poverty,ignorance and desease to promote community development.
To fight against the uses of drugs and narcotics and to assist in the rehabilitation of the addicts of those items.