Log in
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION

DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION

WAMI DAKAWA, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA AWALI KATIKA KITUO CHA UJENZI WA WELEDI NA KUJITEGEMEA CHA DAKAWA (DAKAWA CENTRE FOR SELF RELIENCE AND SKILLS DEVELOPMENT) DCSSD

DAKEDEO NA PROGRAM ZA MAFUNZO KUPITIA KITUO CHA ELIMU YA KUJITEGEMEA UJASILIAMALI NA UJENZI WA WELEDI(DAKAWA CENTRE FOR SELF RELIANCE AND SKILLS DEVELOPMENT (DCSSD).

Mafunzo kwa ajili ya Elimu ya maadalizi ya kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2014 yamefunguliwa rasmi.
kupitia kituo chake (DCSSD) imeanzisha vituo vya ziada katika kata za Sungaji,Dihinda,Lusanga,na Turiani.

Kuanza kwa mafunzo ya Kompyuta kwa msimu wa pili wa mwaka 2014 katika Kituo kikuu cha Mafunzo Wami Dakawa.

DAKEDEO inaalika jamii toka katika kada mbalimbali kujiunga ili kuchangia maendeleo ya elimu kwa jamii. 

DAKEDEO.

Inawakaribisha wadau wa maendeleo katika ubunifu na uendeshaji wa miradi ya MAENDELEO KATIKA JAMII ambayo ina mwelekeo wa kukuza uwezo na weledi katika kuwezesha vita dhidi ya umasikini wa kipato katika jamii.

Miradi hiyo yaweza kuwa katika muktadha wa kilimo,ufugaji na shughuli za ujasiliamali.

KUANZA KWA MAFUNZO. AWALI YA KIDATO CHA KWANZA NA KOMPYUTA.

DAKAWA CENTRE FOR SELF RELIANCE AND SKILLS  DEVELOPMENT IMEFUNGUA MAFUNZO YA AWALI KWA WANAFUNZI WANAOTARAJIA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2014 KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI NCHINI TANZANIA.

MAFUNZO HAYO YATAKAYOCHUKUA MUDA WA MIEZI MITATU YALIANZA RASMI 22-SEPTEMBA 2013 KATIKA KITUO KILICHOPO WAMI DAKAWA MAKAO MAKUU YA  ASASI YA DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION (DAKEDEO) AMBAYO NDIYO INAYOMILIKI NA KUSIMAMIA KITUO HICHO.

PAMOJA NA MAFUNZO HAYO YA AWALI KWA KIDATO CHA KWANZA KITUO PIA KIMEANZISHA MAFUNZO YA AWALI YA MUDA MFUPI YA KOMPYUTA KWA WADAU AMBAO WANAHITAJI UFAHAMU NA MATUMIZI YA KMPYUTA KWA AJILI YA SHUGHULI ZA KIMAENDELEO KWA JAMII.

KATIKA UHAKIKISHA KUWA WANAFUNZI WANAOJIUNGA NA MAFUNZO YA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2014 WANAKUWA NA UFAHAMU WA ELIMU TEHEMA  KITUO KINATOA MAFUNZO PIA KWA ELIMU YA MATUMIZI YA KOMPYUTA KWA WANAFUNZI HAO WANAOENDELEA NA MAFUNZO YA KUJIANDAA NA KIDATO CHA KWANZA.