Envaya

MAFANUKIO YA MRADI NI YAPI?

Brayson kilamhama (Univeristy of DSM)
24 Julai, 2014 11:54 EAT

napenda kujadiliana nanyi suara hili lihusulo miradi kwani linazidi kunichanganya kutokana na pesa mziombazo kutofikisha mradi husika kwa walenga, hivyo nahitaji mnipatie maelezo zaidi ni yapi mlifanikisha na viziwi wanamdu vip kuitumia lugha hiyo ya alama na kwa mazingira gani? binafis mimi ni kiziwi nipo UDSM kinachonifanya nizulize hili ni kutokana na tafit zangu nilizozifanya hivi karibuni vzw wengi wamekuwa hawaijui lugha hiyo hasa maeneo ya vijijin nahitaji mnipatie maelezo ya kutosha kuhusu suara hili.


Ongeza Ujumbe Mpya (Ficha)

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.