Envaya
  1.  Kuboresha udongo, kuongeza mazao ya chakula na kustawisha misitu katika mazingira yetu kwa kutumia kilimohai na mbinu nyingine zinazosaidia kutokomeza ukataji wa miti na uharibiu wa uoto wa asili. 
  2. Kuelimisha jamii hususani akina mama (Chausiku) juu ya kukuza na kula mimea, mboga na matunda kwa kutumia mboji, samadi na mbinu za asili za kuua wadudu wanaoharibu mazao bila ya matumizi ya  kemikali. 
  3. Kutumia uiano uliopa kati ya mimea mbali mbali ndege na hata wadudu ili kukamisha usawa wa viumbe hai na kuboresha mazingira.

 

Mabadiliko Mapya
Chausiku Earth Care Project imeumba ukurasa wa Mkuu.
Kuboresha udongo, kuongeza mazao... Soma zaidi
2 Mei, 2015
Chausiku Earth Care Project imejiunga na Envaya.
2 Mei, 2015
Sekta
Sehemu
Moshi, Kilimanjaro, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu