We! Ally ! Mbona Unakunywa maji ya chupa peke yako? Ni vyema ukaweka pia picha za muvi tuwaone jinsi mnavyo sakata kabumbu uwanjani sii picha mnato tu
Comments (2)
We! Ally !
Mbona Unakunywa maji ya chupa peke yako?
Ni vyema ukaweka pia picha za muvi tuwaone jinsi mnavyo sakata kabumbu uwanjani sii picha mnato tu
NASHUKURU KWA MAONI NAITAZIDI KUPOKEA NA KUBORESHA TOVUTI.
AMEEN.