Fungua
CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA)

CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA)

Tanzania

CHAMIVITA SPORTS CLUB YAITWANGA MAKORORA STARS BAO 1-O katika mechi ya kirafiki.

CAHMIVITA YAHITAJI UWANJA MAALUM WA MAZOEZI NA PIA INAWAKARIBISHA VIJANA U16,U18,U20 WAWE VIZIWI NA WASIO VIZIWI KUJIUNGA NA TIMU ILA HAKUNA MSHAHARA(KWETU VURUGU NA LUGHA CHAFU NI MWIKO ILI HESHIMA KWA WOTE NDIO DIRA YETU KATIKA MICHEZO.

TUNAKARIBISHA MECHI MBALIMBALI ZA KIRAFIKI TUMA SMS KWA NAMBA ILIYOPO KATIKA TOVUTI HII.

CHAMIVITA kinaendelea na mafunzo kwa wanamichezo viziwi katika wilaya ya muheza ikiwa ni awamu ya mwisho ya mradi.

19 Machi, 2012
Ifuatayo »

Maoni (1)

CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA) (Independence avenue/MAGEREZA MKOA TANGA) alisema:
Tunaomba wadau mbalimbali wa michezo mkoani Tanga na viunga vyake na pia nje ya mkoa wa Tanga watuunge mkoano kwa kutupatia vifaa vya michezo. na fedha ili kuweza kuinua ARI ya wanamichezo viziwi.
19 Machi, 2012

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.