Semina zitolewazo kwa vinogozi husaidia kukuza uelewa wa wadau wa kimaendeleo, kama inavyoonekana viongozi wa Asas za Kiraia wakiwaskliza kwa makini mada zinazotolewa wakati wa Tamasha la AZAKI lililoandaliwa na The Foundation For Civil Society
28 Juni, 2011