Log in
BURUDA DEVELOPMENT FOUNDATION

BURUDA DEVELOPMENT FOUNDATION

Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

BURUDA DEVELOPMENT FOUNDATION imeanzishwa mwaka 2001 na ilipata usajili wake 2001 mwezi wa marchi tarehe 14. Ilianza na wanachama 25 na sasa(2011) inawanachama 69. Inahudumia jamii kwa kusogeza umeme katika kijiji cha pwani mchangani, ukarabati wa kitoa cha afya, kujenga vyumba viwili vya madarasa sckuli, imejenga skuli ya maadalizi, imetoa elimu ya kujiembukiza dhidi ya Ukimwi