Mwenyekiti wa KIAVI Bw Gabriel .S. Ng'osha akiwa na timu ya KIAVI FC(KFC1) ya vijana walio chini ya miaka 15.KIAVI imeamua kuwalea na kuwasaidia vijana hawa kwasababu vipaji bora hujengwa toka chini.Timu hii inahusisha timu 2,KFC1 ikiwa na vijana wa kiume 17 na KFC2 ikiwa ni ya wasichana 16.nia yetu ni kukuza vipaji tofauti mbali na mpira pia kuna wachoraji,waimbaji,wanariadha,wacheza volleyball,netball n.k.
Maoni (1)