Injira
Amkeni Vijana Center   (AVI CENTER)

Amkeni Vijana Center (AVI CENTER)

MWANZA,ARUSHA, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

large.jpg

24 Kamena, 2012
« Inyuma Ahakurikira »

Ibitekerezo (1)

Mwenyekiti wa KIAVI Bw Gabriel .S. Ng'osha akiwa na timu ya KIAVI FC(KFC1) ya vijana walio chini ya miaka 15.KIAVI imeamua kuwalea na kuwasaidia vijana hawa kwasababu vipaji bora hujengwa toka chini.Timu hii inahusisha timu 2,KFC1 ikiwa na vijana wa kiume 17 na KFC2 ikiwa ni ya wasichana 16.nia yetu ni kukuza vipaji tofauti mbali na mpira pia kuna wachoraji,waimbaji,wanariadha,wacheza volleyball,netball n.k.
24 Kamena, 2012

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.