ungana nasi katika harakati za kutoa elimu ya afya ya uzazi na mpango katika jamii yetu.ni jukumu letu sote
MCHAKATO WA LIGI YA VIPAJI HUKUZWA NA KULETA UFANISHI YA KIKUNDI CHA KIAVI ILISIMAMA KWA MUDA KUTOKANA KUTOKANA NA BAADHI YA WACHEZAJI KUVUNJIKA MIKONO NA MGUU.HIVYO TUTAENDELEA KUIMALIZIA. NA LEO TUNA MECHI YA KIRAFIKI.
kikundi cha amkeni vijana (KIAVI) Inapenda kuwaalika wadau wote katika uzinduzi wa LIGI YA KIAVI itakayoanza leo jioni saa 9.katika uwanja wa NYALIKUNGU. MNAKARIBISHWA
KIAVI inapenda kuwajuza wapendwa wote katika mtandao wa envaya kuwa ligi ya KIAVI inayowahusisha vijana wa miaka chini ya 18,inatarajiwa kuanza jumamosi hii,tutawapa taarifa kila hatua. karibuni sana kwa maoni
mchakato wa mechi ilikuwa kama hivi baina ya timu za vijana walio chini ya miaka 18
timu ya KUKURUKA FC ya magu ikiwa katika uwanya wa nyalikungu baada ya kufungwa bao 3 kwa 2 na timu ya KIAVI FC1. hii ni mechi ya kirafiki kwa ajili ya kuwaandaa vijana hawa kushiriki ligi itakayoandaliwa hivi karibuni
HII NI TIMU ILIYOCHINI YA KIKUNDI CHA KIAVI.TIMU YA KIAVI FC(KC1) YA VIJANA WALIO CHINI YA MIAKA 18 WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA M/K BW GABRIEL .S. NG'OSHA PAMOJA NA KOCHA BW ELIAS KING.TIMU HII ILIIBUKA KW USHINDI WA GOLI 3 KWA 2 BAADA YA KUIFUNGA TIMU YA KUKURUKA FC.ZOTE ZIKIWA NI ZA (W )MAGU MJINI
Mwenyekiti wa KIAVI Bw Gabriel S Ng'osha akiwa na timu ya mpira wa miguu ya KIAVI FC 1 pamoja na timu ya mpira wa miguu ya Kike ya KIAVI FC2 (KFC1 & KFC2) wakishangilia ushindi baada ya kuifunga timu ya KUKURUKA kwa goli 3-1. Timu hizi zote zinahusisha vijana walio chini ya miaka 18, na ziko chini ya KIAVI, Nia ni kunyanyua na kuendeleza vipaji vya vijana wetu kuanzia umri mdogo,kwani vijana wengi wanavipaji ila havijulikani wapi vitaenda.timu hizi zina jumla ya wachezaji 33.wasichana kwa wavulana.pia wapo waimbaji,wachoraji,wanariadha,wanavolleyball,netball n,k usikose matukio mengine ya mechi