Envaya

Africa Upendo Group

Dar es salaam, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

 

Mafunzo ya Ufugaji nyuki yaliyoendeshwa na Mwl kutoka chuo cha Nyuki Olimotonyi Mr.Kipemba ambayo yaliendeshwa na Asasi isiyo ya kisiasa wala kidini ya Africa Upendo Group.Mafunzo hayo yalihusisha wafugaji wa  Kata ya Shighatini na Msangeni.Wanasemina walikuwa zaidi ya 150 na yaliendeshwa kwa vitendo na nadharia kwa siku mbili mfululizo tarehe 13-14/10/2015.Katika Picha Mwl Kipemba akionyesha baadhi ya mizinga ya biashara ambayo ni ya kisasa na inasaidia malkia kuwa salama na watoto huku asali ikipatikana safi na salama. 

Mafunzo ya Ufugaji nyuki yaliyoendeshwa na Mwl kutoka chuo cha Nyuki Olimotonyi Mr.Kipemba ambayo yaliendeshwa na Asasi isiyo ya kisiasa wala kidini ya Africa Upendo Group.Mafunzo hayo yalihusisha wafugaji wa Kata ya Shighatini na Msangeni.Wanasemina...

 

hapa tupo kwenye mafunzo kivitendo katika Mbungi ya Waruma tunafundishwa jinsi ya kuweka mizinga ile ya biashara kwenye vichanja na mkufunzi wetu ambaye ni Bwana Nyuki wa Wilaya ya Mwanga ndugu Bura.

huyu hapa anaitwa Mahamdu Kileda ndiye Coordinator wa Kata ya Shighatini katika asasi yetu.Hapa anaonyesha umahiri wake kwa kuvaa mavazi ya Kuvunia asali katika mizinga .Hapa ilikuwa ni kwenye semina ya vikundi viwili vya nyuki wakiwa kwenye mafunzo .

Vision:

To be a leading Social Institution (NGO) in disseminating knowledge to the extremely marginalized and excluded members in the society.

MISSION: 

To dispense alternative solution on various social problems that degrade our nationhood through respect integrity,teamwork,Love and excellence while preaching for a better and health society to the socially excluded  members in the communities of Africa

 

 Amakuru agezweho
Africa Upendo Group hari ibyo yahinduye kuri Ahabanza paje.
Mafunzo ya Ufugaji nyuki yaliyoendeshwa na Mwl kutoka chuo cha Nyuki Olimotonyi Mr.Kipemba ambayo yaliendeshwa na Asasi isiyo ya kisiasa wala kidini ya Africa Upendo Group.Mafunzo hayo yalihusisha wafugaji wa Kata ya Shighatini na Msangeni.Wanasemina walikuwa zaidi ya 150 na yaliendeshwa kwa vitendo na nadharia... Soma ibindi
2 Ugushyingo, 2016
Africa Upendo Group yashyizeho Amakuru agezweho.
huyu hapa anaitwa Mahamdu Kileda ndiye Coordinator wa Kata ya Shighatini katika asasi yetu.Hapa anaonyesha umahiri wake kwa kuvaa mavazi ya Kuvunia asali katika mizinga .Hapa ilikuwa ni kwenye semina ya vikundi viwili vya nyuki wakiwa kwenye mafunzo . Soma ibindi
24 Ukwakira, 2016
Africa Upendo Group hari ibyo yahinduye kuri Imishinga paje.
1.Bee keeping project – We are planning to start a new project in collaboration with Tanzania Forest Fund (TaFF) – The project will be funded by Tanzania Forest Fund. – We... Soma ibindi
24 Ukwakira, 2016
Africa Upendo Group hari ibyo yahinduye kuri Korera ubushake paje.
Africa Upendo Group: We invite volunteers from all over the world with all type of experties – Work Area:Youth,Women.Children,Elders,Disabled.
24 Ukwakira, 2016
Africa Upendo Group hari ibyo yahinduye kuri Ikipe paje.
AFRICA UPENDO TEAMExecutive Director - Neatness MsemoFinance Director - Goodchance Godwin – Administrative Manager -Grace Christopher Grant Manager - August Avelini Swai – ... Soma ibindi
24 Ukwakira, 2016
Africa Upendo Group hari ibyo yahinduye kuri Ahabanza paje.
Mafunzo ya Ufugaji nyuki yaliyoendeshwa na Mwl kutoka chuo cha Nyuki Olimotonyi Mr.Kipemba ambayo yaliendeshwa na Asasi isiyo ya kisiasa wala kidini ya Africa Upendo Group.Mafunzo hayo yalihusisha wafugaji wa Kata ya Shighatini na Msangeni.Wanasemina walikuwa zaidi ya 150 na yaliendeshwa kwa vitendo na nadharia... Soma ibindi
24 Ukwakira, 2016
Ibyiciro
Aho uherereye
Shighatini - Mwanga, Kilimanjaro, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye